Ruka hadi maudhui

Kufuta akaunti ya Milele Kids

Mzazi anaweza kufuta akaunti yake ya Milele Kids wakati wowote, kwenye tovuti au kwenye programu.

Ingia, fungua Kituo cha Mzazi, kisha chagua “Futa akaunti” chini kabisa. Kwenye programu, kitufe hicho kipo chini ya Kituo cha Mzazi.

Kinachofutwa: akaunti yako, barua pepe na jina lako, wasifu wa watoto wako, maendeleo yao, nyota, nishani, picha walizohifadhi, na simu zilizosajiliwa kwa taarifa. Una siku 14 kubadili nia kwa kuingia tena; baada ya hapo ufutaji hauwezi kurudishwa.

Ingia ili kufuta akaunti yangu
MileleKids

Neno la Mungu, milele moyoni

Imetengenezwa kwa upendo Tanzania 🇹🇿

© 2026 OXMET Limited. Haki zote zimehifadhiwa.